poslat odkaz na aplikaci

Umoja Radio App


4.0 ( 160 ratings )
Hudební
Vývojář: Emanuel Mchimbwa
Zdarma

Taasisi yoyote ile popote pale ipatikanapo inaundwa kwenye misingi ya sheria zinazotoa muongozo kwa ufanisi wa shughuli zake. Ili kuepukana na hali ya kupapasa papasa au kubahatisha katika majukumu tuliyokabidhiwa inatubidi tuzingatie sheria ambayo ndiyo dira ya kazi yetu. Huu ndio mtazamo unao maono ya maendeleo ya shughuli tuzifanyazo. Kwa mantiki hiyo, tunayo matumaini kwamba wafanyakazi wa UR watakubali kuongozwa na sheria hii ili kukidhi vigezo vya mfanyakazi mwadilifu, hali itakayo wezesha UR kufikia malengo yake. La! Sivyo, sheria haisinzie kamwe.